Isaiah 6:11-12

11 aNdipo nikasema, “Hadi lini, Ee Bwana?”

Naye akanijibu: “Hadi miji iwe imeachwa magofu
na bila wakazi,
hadi nyumba zitakapobaki bila watu,
na mashamba yatakapoharibiwa na kuangamizwa,

12 bhadi Bwana atakapokuwa amekwisha kumpeleka kila mmoja mbali sana,
na nchi itakapokuwa imeachwa kabisa.
Copyright information for SwhKC